Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hizi tetesi za Mourinho kurudi sijui zitaishaje.

Binafsi Nina wasi wasi akipewa timu yule baba itabidi tuvumilie Tena miaka minne kupata Uefa.

vijana wanaojiita mashabiki wa Madrid wengi wao wanashabikia hii move, nilichogundua ni kuwa washabiki wengi wa football uwelewa wao wa game ni mdogo sana, wanapelekwa zaidi na mihemko na mahaba
 
Starting eleven

1000133716.jpg
 
Huyu lunin benchi limemiathiri sana, Yaani hayupo active kabisa golini,

Wakipigwa mashuti ya mbali yeye anakuja kustuka mpira ushapita, ni vile Espanol Kuna mipira kadhaa hawajalenga lango, wangelenga zilikua kamba.

Maana unaona kabisa jamaa anaruka akiwa kaishachelewa.
 
Zime pigwa ngumi mnyoso 😂😂😂😂 kenge nyie nawachukia mno yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom