Wanautumia ufupi wao vizuri hahahaBrahim ni mkali sana wa kutafuta penalty, ni kama alivyokuwa Lucas Vazquez, yaani wanakuwa na vimtego vidogo tu unajikuta unamgusa watu wanafunika tuta!!
Kinyama yaan...Brahim anajua sana kutafuta penaltBrahim ni mkali sana wa kutafuta penalty, ni kama alivyokuwa Lucas Vazquez, yaani wanakuwa na vimtego vidogo tu unajikuta unamgusa watu wanafunika tuta!!
Eeee mzeee...haya ndio magoal anayofungagwa...ya mbaliYale magoli ya Lunin sasa ndio haya, ila jamaa alijikunja haswa, qling'ata mpka na meno, noma sana