Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Ule wa Valverde na Baena haukuwahi kuisha!?
Hii mbona ni soft sana.Valvede kadi nyekundu
Hapo ndio mtihani ulipo master..Tulikuwa na advantage tayari, sasa tunaweza kushikilia bomba kweli?
Wanawasaidia wapogoro kuchukua ubingwaHii mbona ni soft sana.
Wanajua ni nani aliye golini, kuna muda Lunin kama anapoteza focus hivi, yaani anatoka uwanjani mazima, ikipigwa ya mbali imo, ila hapa na hapa humfungi!Baba hii missile iliyogonga mwamba bora msione