Ververde angekua mnyumbulifu Kuna ingine ilikua apige goli akaweka ndani kulikua hakuna mtu.Valverde nusura atutangulize hapa, wakati huo huo Lunin na yeye ameokoa jahazi
Brahim ni mkali sana wa kutafuta penalty, ni kama alivyokuwa Lucas Vazquez, yaani wanakuwa na vimtego vidogo tu unajikuta unamgusa watu wanafunika tuta!!Hili tuta limetafutwa
Liko soft sana
Ile press uliyokuwa unasema imezaa matundaGoooooal....waleteeee