Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Hii game imekuwa na goli nyingi sana na offside!!
Ndani ya dakika 180 pep timu yake imefunga goli 1 na kuruhusu 5. Baba wa watu Kapigwa nje ndani na mtoto wa juzi.
Maisha yanaenda kasi sana, Leo hii Mzee wa modern Football nae kapitwa na wakati.
Alimnyasasa sana Zidane, sasa kakutana na damu changa atatubu.
Arbeloa ameonyesha ukomavu mkubwa kwa kubadilisha mfumo mara ya tatu sasa.Ana bahati Fede na Vini hawakuwa makini kipindi cha kwanza, angepigwa aggregate 9-1
Wazee wa kukamiaArbeloa na vijana wako nibondee kwanza hao azam wa uhispania.
Ila leo tunawabonda tu hakuna namna watakwepaWazee wa kukamia
Haya sasa leo tupo na wazee wakuuma meno,wazee wa bora wakose kombe ila siyo kufungwa na madrid.