pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Sure thing.This red card will leave City traumatized
Sure thing.This red card will leave City traumatized
😀😀😀pesa ilikhwa nje nje...Nawakumbusha wakamaria kua Madrid alikuwa na odds 6
Pale sio pa kukosa aisee, shida sio mtu wa kujisahihishaDah...Vin leo vipi aiseeee
Kabisa aisee...sa hv tungekuwa na goal 3 jumla 6Pale sio pa kukosa aisee, shida sio mtu wa kujisahihisha
Hili goal tumefungwa watu wanakaba kwa macho aisee.
Sahihi kabisa,kipindi cha kwanza ilikuwa tushapiga kama 3 au 4 afu sasa unatoa watu makini unaingiza Castilla hapo habar inakuwa imekwisha.Ninaona tempo ipo chini sana, sijui watu wanatunza energy kwa ajili ya Atletico weekend ama ni aje, hii game ilipaswa tuimalize hichi kipindi cha kwanza!!
Vin alitakiwa atoke mapema...ile kukosa magoal mfululizo kulishamtoa mchezoni.Ni aje kwani kama Arbeloa akamtoa tu Vini aisee, ninaona hayupo hata mchezoni, anatupa mzigo tu na kuendelea kukaa kwa presha!! Amtie hapo hata Gonzalo tu