Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.

Wale watoto washajua mpira ndio maisha yao kwahiyo wakipewa nafasi lazima waitumie vizuri. Lakini safi sana Arbeloa kuwapa nafasi vijana
 
Kiukweli wanajitahidi sana, ni muda mrefu sana hatujatumia vijana kutoka Castilla kwa kiwango hiki, kama alikuwa Ancelloti sijui kama angewatumia, ila Arbeloa anawaamini, ndio maana hata Castilla ilifanya vema sana chini yake.
 
Castilla wamefurahi Arbeloa kuchukua timu, wanajua hata kama sio wote lakini baadhi watapewa debut
 
Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.
Mwanangu umeona eee...aisee hawa vijana aliopanda nao wanajitahidi kwa kwel,kama yule dogo mwingine tena wa juzi (Manuel Angel) wanajituma kinyama,hawa wakiendelea kuaminiwa watakuwa hazina kubwa sana.
 
1773773641313.jpeg
 
Back
Top Bottom