Da Dona
JF-Expert Member
- Dec 16, 2025
- 799
- 508
How shall City stand this shame!Hahaha wa 🔥 mno, sema guardiola ni mafia kipindi cha pili tuwe makini.
How shall City stand this shame!Hahaha wa 🔥 mno, sema guardiola ni mafia kipindi cha pili tuwe makini.
Goli la Guler siyo mchezo,yale makadirio makubwa sana.
.....?????Goli linakuwa nominated pushes award
Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.Goli la Guler siyo mchezo,yale makadirio makubwa sana.
.....?????
Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.
Kiukweli wanajitahidi sana, ni muda mrefu sana hatujatumia vijana kutoka Castilla kwa kiwango hiki, kama alikuwa Ancelloti sijui kama angewatumia, ila Arbeloa anawaamini, ndio maana hata Castilla ilifanya vema sana chini yake.Wale watoto washajua mpira ndio maisha yao kwahiyo wakipewa nafasi lazima waitumie vizuri. Lakini safi sana Arbeloa kuwapa nafasi vijana
Kiukweli wanajitahidi sana, ni muda mrefu sana hatujatumia vijana kutoka Castilla kwa kiwango hiki, kama alikuwa Ancelloti sijui kama angewatumia, ila Arbeloa anawaamini, ndio maana hata Castilla ilifanya vema sana chini yake.