pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Ndugu yangu hii timu yetu ni bora tumalize msimu tu..tuna wachezaji average sanaaa.Madrid derby, we're taking the Getafe at home tonight.
Ndugu yangu hii timu yetu ni bora tumalize msimu tu..tuna wachezaji average sanaaa.Madrid derby, we're taking the Getafe at home tonight.
Sukari isha kupandaKenge wakubwa nyie safi sana na bado 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
It's like hatuna shida na ubingwaHii timu leo inaongoza ligi afu baada ya siku 10 iko nyuma kwa point 5
Alonso hatuna mashaka nae juu ya uwezo wake, ila ni kwamba alishindwa tu ku-manage team, na hii ni tokea pre season, maana kule alishaona mapungufu ila akashindwa kuwaambia ma-boss zake, kwamba hapa tuna shida ya kiungo mshambuliaji ama kama sio mshambuliaji, basi kiungo mwenye uwezo wa kuunganisha team na kutengeneza nafasi, maana hapo ndipo tulipofeli kutokea mwanzo hata mpka sasa, hatuna mfumo sahihi wa kufanya build up na hata kutengeneza nafasi, game zote tume struggle kuanzia kwenye kiungo, imagine tuna viungo wa 4 na bado tunaishia kupiga back pass muda wote.Alonso hakua tatizo nadhani tuna anza kuelewana
Leo mtamtambua Mr panda mandevu Borja Iglesias.
Mr panda Mandevu anakusalimia.1
Tchouameni says hello
Tumemnyoa ndevu zakeMr panda Mandevu anakusalimia.
Dogo alikuwa anazunguka uwanja mzima!! Ni vile bado hana mwili wa kupambana kihivyo, ila kiukweli alijitahidi sana!! Hata wale wenzake walioingia pia walijitajidi, hata mpira uliosababisha goli ulianzia kwa yule dogo baada ya kufanya kumpokonya mpinzani mpira!Kuna huyo dogo Pinar juzi kajitahidi,hawa sasa ndio wanakuwa na uchungu na timu,asilimia kubwa waliopo hawana tena morali ya ushindi.
Sahihi kabisa...asipovimba kichwa,akapata muda zaidi wakucheza,akazingatia gym na mazoezi kwa ujumla...huyu dogo ni hazina.Dogo alikuwa anazunguka uwanja mzima!! Ni vile bado hana mwili wa kupambana kihivyo, ila kiukweli alijitahidi sana!! Hata wale wenzake walioingia pia walijitajidi, hata mpira uliosababisha goli ulianzia kwa yule dogo baada ya kufanya kumpokonya mpinzani mpira!