PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,630
- 22,909
Kesho hiyo dhidi ya vijana wa Jose' tena!! Matumaini yangu ni Ushindi mkubwa!!
HalaMadrid!!
Tuko nae Mourinho kwenye hii play off, Real Madrid wakifika hapa wanakuwa tofauti
Kesho hiyo dhidi ya vijana wa Jose' tena!! Matumaini yangu ni Ushindi mkubwa!!
HalaMadrid!!
Kuna mabadiliko kidogo dhidi ya team waliyokutana nayo siku kadhaa zilizopita, kwanza morale ya team ipo juu, pili team ina balance, maana tunacheza viungo watatu wakabaji kisha Guler amepewa free role nyuma ya washambuliaji, kazi yake ni ku-link flow tu ya team!!Tuko nae Mourinho kwenye hii play off, Real Madrid wakifika hapa wanakuwa tofauti
Shukran sana kwa ku-share Mkuu, nilikuwa ninahangaika hapa ku-post.
Team inahitaji utulivu na umakini tu, tutamalizana na hawa jamaa leo vizuri tu.Hii game ya leo ni tight sana, sijui kwanini I'm so excited
Shukran sana kwa ku-share Mkuu, nilikuwa ninahangaika hapa ku-post.
Hata!! Akirudi anakipiga vizuri sana,Arda Güler kapewa wing ya kulia, yaani Rodrygo ndio basi tena
Vini amekosaje pale jamani, nimependa nafasi ilivyotengenezwa!!
Daaah, hawa jamaa tunawatafuta hatari, ila badoo wameshikilia bomba hatari
Leo hawa tunao manKwa defence Mourinho yuko vizuri lakini leo hawa wetu