Benfica wako na Mourinho, I'm not a big fan lakini ukweli utabaki palepale, jamaa ndio aliyefanya change of football pale Bernabeu. Tumebeba UCL zote na Ancelotti na Zidane kwa kutumia philosophy ya Mourinho. Real Madrid ilikuwa na majina makubwa yote R9, Raul, Figo Beckham na wengine, enzi hizo za Fabio Capello, lakini ilipata tabu sana mpaka alipokuja huyu mwamba ndio ikawa mwisho wa mateso.
Ndio maana nasema, sio kama tutatolewa na Benfica, lakini ukweli usemwe, huyu jamaa ni fundi kwahiyo hii play off ngumu sana ambayo inahitaji focus