Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nina taarifa Boss, ila game ya jana sikupata nafasi ya kuiangalia, ile dhidi la Levante niliicheck, sikuona kitu kipya, ndio maana hapo juu nimejiuliza!! Inawezekana Arbeloa amepata muarobaini!? Acha tuone, japokuwa sina shaka nae, maana aina ya mpira wake ulinivutia sana akiwa Castilla, Wale watoto walikuwa wa moto vibaya mno!!

Kulikuwa na mtu mmoja humu miaka ya nyuma nilikuwa nacheka sana akimuongelea Alberoa kipindi hicho alikuwa deffender wetu.
Aliwahi kusema Alvaro Albeloa can make a good coach because of the time he was spending on the bench. Jamaa alikuwa anasugua bench mpaka huruma, lakini ni Madridista damu
 
Kulikuwa na mtu mmoja humu miaka ya nyuma nilikuwa nacheka sana akimuongelea Alberoa kipindi hicho alikuwa deffender wetu.
Aliwahi kusema Alvaro Albeloa can make a good coach because of the time he was spending on the bench. Jamaa alikuwa anasugua bench mpaka huruma, lakini ni Madridista damu
Hahaha., ila imekuwa ukweli bana. Halafu alikuwa anafurahia, hakuwahi kuwa na kinyongo, nilishangaa sana aliporudi kwenye Club na kuanza kuiwakilisha kwenye hafla mbali mbali, hapo ndipo nilipoamini jamaa anaipenda hii club kutoka moyoni.
Sema nilitamani aendelee kuwafundisha Castilla, maana nilitaka kuona kama angeweza kuwapandisha daraja? Ila Perez na watu wake wakaona arithi mikona ya Alonso, ni matumaini yangu ataendeleza ule mpira mzuri kutoka Castilla!
 
How does he want Real Madrid to play?
“We want to see a Madrid, beyond tactical ideas and football systems or organisation, with the character and mentality of the other day. This is something that can never be missing and represents what Real Madrid is all about. That mentality, that ambition, that desire, that passion, all together as one, togetherness. Those values are ours, they are what must represent us and what we must never abandon. After that will come all the footballing ideas
 
1769286398530.jpeg
 
Kuna improvement kubwa sana kiukweli, japokuwa bado kuna weakness kwenye defending, ila vijana wanafanya kazi nzuri, sioni ule ujinga wa kupiga piga bila mpango ndani ya 18 ya adui, aliye na nafasi ndio anayepewa mpira, hii itasaidia sana
 
Back
Top Bottom