Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1000117967.jpg
 
Benchi la ufundi limebadilika au huna taarifa mkuu?
Nina taarifa Boss, ila game ya jana sikupata nafasi ya kuiangalia, ile dhidi la Levante niliicheck, sikuona kitu kipya, ndio maana hapo juu nimejiuliza!! Inawezekana Arbeloa amepata muarobaini!? Acha tuone, japokuwa sina shaka nae, maana aina ya mpira wake ulinivutia sana akiwa Castilla, Wale watoto walikuwa wa moto vibaya mno!!
 
Kulikuwa na mtu mmoja humu miaka ya nyuma nilikuwa nacheka sana akimuongelea Alberoa kipindi hicho alikuwa deffender wetu.
Aliwahi kusema Alvaro Albeloa can make a good coach because of the time he was spending on the bench. Jamaa alikuwa anasugua bench mpaka huruma, lakini ni Madridista damu
 
Hahaha., ila imekuwa ukweli bana. Halafu alikuwa anafurahia, hakuwahi kuwa na kinyongo, nilishangaa sana aliporudi kwenye Club na kuanza kuiwakilisha kwenye hafla mbali mbali, hapo ndipo nilipoamini jamaa anaipenda hii club kutoka moyoni.
Sema nilitamani aendelee kuwafundisha Castilla, maana nilitaka kuona kama angeweza kuwapandisha daraja? Ila Perez na watu wake wakaona arithi mikona ya Alonso, ni matumaini yangu ataendeleza ule mpira mzuri kutoka Castilla!
 
Back
Top Bottom