Beki zinavuja sana
Sijui ni maelekezo ya Alonso ama ni vipi, ila Rodrygo tunajua uchezaji wake, Mimi ninaona kama bado Alonso anajitafutaBeki sio ya clean sheet, kushinda hii game tunatakiwa kutupia nyingine 2.
Kule mbele vilevile wote wako zigzag tu. Rodrygo na Vini walitakiwa wawe mawinga lakini wote wako kwenye box
Tuna shida sana kwenye back line yetu maana tumeandamwa na majeraha kweli kweli, hapo comb nzuri ni Dean na Militao ama Militao na Alaba, ila Rudiger uwezo umeshuka sana, huyo Asencio sijui anajikutanaga nani, sijawahi kumwelewa yule Mtoto.Huyu Dean Huijsen anatoa maboko, sijui hii namba haiwezi
Startimes mara nyingi huwa anaoneshaga Super CopaHongereni,fainali na Barcelona sijui mtatoboa maana atataka kulipiza kisasi kufungwa mechi ya kwanza ya Ligi....
Sema sijui kwanini hizi mechi za Super Copa de espana accessibility yake kuziona ni ngumu, maana sio Azam Wala DStv hazioneshwi uko...
Yamepigwaaaaaaaaa kenge wakubwa nyie. Nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa
Yes, nimefeli maisha.Angalia mpira move on. Mambo ya kuchukia na kucomment kwenye page zisizokuhusu ni dalili ya kufeli maisha. Ain't nobody got time for that.