Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata Messi akushangilia kama hivi alivyonyakua world cup
Screenshot_20251211-085627_Facebook.jpg
 
Pale ilikuwa rahisi kwake maana wote walikuwa wanamsikiliza, na hapakuwepo mashindano baina ya wachezaji kuwa Mimi ni star kuliko wewe, kiufupi walikuwa wamoja sana, hii ilimsaidia Alonso pia ku-implement aina ya uchezaji anaoutaka.

Ila kwa upande wa Real Madrid kwanza amekutana na vifungu vigungu ya wachezaji, kila kikundi kinajiona special kuliko wenzie, sasa hao watu kuwaweka pamoja inahitajika akili ya ziada na back up ya club, na bahati mbaya Alonso na yeye alianza vibaya, ya kumkumbatia mchezaji huyu na kumuacha huyu, hapo kiukweli alifeli, bahati mbaya pia anakuwa tena mgumu kujaribu njia mpya, sijui kiukweli labda abadilike ila sioni akidumu kwenye hii club endapo ataendelea na muendelezo huu.
Tunakoelekea ni kubaya aisee.
 
Back
Top Bottom