atleast yule Hujsein pia hata kiungo nayo imekamatikaHamna beki yaani yule Dogo alivyopata kadi nyekundu last game nilijua tumekwisha, Angalau Hujsen ni beki wengine hamna kitu
Hawa wakitafuta mabeki 3 wazuri msimu huu itasaidia sana.Imeoza kuanzia nyuma kati mpaka mbele
Tumewapa Trent Alexander anold atawasaidia 😀😀Hii timu tukijidanganya tumemaliza usajili bas tutakuja kulia na miti
Wachezaji wenu wanachojua ni kukimbia tu kama kuku wamefunguliwa kutoka bandani.Imeoza kuanzia nyuma kati mpaka mbele
Madrid sasa wasajili mabeki tuu, hasa wakipata hata 3 hivi itawasaidia sana kwenye ligi la ndani.Wachezaji wenu wanachojua ni kukimbia tu kama kuku wamefunguliwa kutoka bandani.
Tumewapa Trent Alexander anold atawasaidia![]()