Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,956
- 12,412
Kuhusu kuwa uchochoro hilo linafahamika na Alonso pamoja na bench lake wanalijua hilo ndiyomaana jukumu kubwa alilopewa ni kuongeza idadi ya namba wakati wa kushambulia.huyo jamaa ni uchochoro, utafika muda tutongea lugha moja tu