Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mlivyoanza janja janja tu ya kutaka kususia mechi nikajua tu mnaenda kufa
 
Mlivyoanza janja janja tu ya kutaka kususia mechi nikajua tu mnaenda kufa
Full malalamiko kwa marefa.

Eti walikuuwa wanataka refa wa mchezo abadilishwe hawana imani nae.

Msimu ulioisha wakati Xavi analalamikia marefa wao wanashinda makombe kocha wao Don Carlo alijifanya so professional akidai kulaumu marefa ni kuishusha hadhi la liga na spanish football kwa ujumla.
 
By the way huu msimu Madrid ndo timu yenye mikwala na vitisho kuliko timu yoyote ulaya kwa ngazi ya vilabu.

Kabla ya mechi wachezaji wao watapita kwenye mitandao yote ya kijamii waki tweet na kukomenti jinsi watakavyo mfanya mpinzani wao.

Watatishia kufunga uwanja, mara waseme neno remontada ndio the most pronounced word na wachezaji wa Madrid basi ili mradi tu wamtishe mpinzani wao.

Walete uwanjani sasa hata mbwa koko ana afadhali.
 
wanajisahaulisha kuwa Cortuois alidaka mpira wa Lamine Yamal ndani ya nyavu alafu wakajikausha kimyaaaaa. Xavi wetu aliishia kulalama tu
 
wanajisahaulisha kuwa Cortuois alidaka mpira wa Lamine Yamal ndani ya nyavu alafu wakajikausha kimyaaaaa. Xavi wetu aliishia kulalama tu
Kabisa.

Mechi ya jana yenyewe tu walipendelewa sana.
 
Jamaa wanaweza kucheza lakini inaonekana huyu Babu huwa anawadekeza, ngoja apatikane kocha kichaa, watacheza tu wajinga hawa

tatizo la madrid ni kuwa wachezaji huwa wanadekezwa na Uongozi wa timu. huyo kocha kichaa ataishia kuondoka yeye
 
timu ilicheza vizuri sana,individual mistakes ndio zilitukost. Rudigar na kipa waligawa goli la pili, la tatu Brahim. nafasi za wazi nazo tulipoteza.
 
timu ilicheza vizuri sana,individual mistakes ndio zilitukost. Rudigar na kipa waligawa goli la pili, la tatu Brahim. nafasi za wazi nazo tulipoteza.
Asante Jude...Opener.
Asante Luka....Finisher.
Central Midfielders wenu ni waungwana Sana.
 
Ngoja amalize msimu bhna achukue hata kombe moja tumuage kwa heshima
Nilikwambia kijana kombe pekee mtakalochukua msimu huu labda kombe la uji.

Uliwaka sana ukasema naleta utoto.

Narudia tena kombe pekee mtakalochukua msimu huu ni kombe la uji.
 
This is not entertainment but torture rather. Timu Haina game plan. Barca, arsenal kazi tunayo.
Na mnayo kweli.

Bado hujaja home estadio Luis companys.

Nakusubiri nikuadabishe kwa mara ya 5.
 
Hii timu washabiki wake walikuwa na matarajio makubwa kuliko uwezo wa timu.

Watu walikuwa wanawaza Ballon D'or!
Kuna wachezaji ni wazuri lkn hawana bahati, ukiwa nao kwenye team ni msiba. Mbape anaonekana hana bahati. Hapa nyumbani Feitoto na Chama hawana bahati na makombe ya CAF.
 
Wakuu, hii game na celta vigo tunaweza toboa kweli? juzi Celta vigo alimkazia barca watoa draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…