G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,754
- 4,016
Uko sahihi mkuu, Fede ni PowerhouseHata vervede anahitajika ndani nimuone hata akitembea tembea uwanjani
kuliko kumuona vasquez akicheza kabisa
Uko sahihi mkuu, Fede ni PowerhouseHata vervede anahitajika ndani nimuone hata akitembea tembea uwanjani
kuliko kumuona vasquez akicheza kabisa
Sana, inaleta msisimko kwelikweli na Ile ndo football yenyewe sasaIle energy ndio naipenda sema hua wanaifanya mara moja mòja sana kwenye matukio ya kuamua mechi
Hatuna beki, hata rudiger anahitaji backup ya maana Ame- relax sanaHawa jamaa wanacounter zahatari sana navile beki zenyew uchochoro
Bonge la chuma imenyooshwa kifundiEeeeMbappeeeeeee
Mtangazaji alikua anasema mbappe hajawahi kufunga free kick kwenye career yake ya soka.Bonge la chuma imenyooshwa kifundi
Hahahahahaha ila sasa Ballon D'or inamtaka mbappe by defaultMtangazaji alikua anasema mbappe hajawahi kufunga free kick kwenye career yake ya soka.
Dakika 0 tu jamaa anafunga kwa mara ya kwanza
Wampe tu, misimu zaidi ya 7 mfululizo hatoki kwenye top 10 ya ballon d or.Hahahahahaha ila sasa Ballon D'or inamtaka mbappe by default
SUreWampe tu, misimu zaidi ya 7 mfululizo hatoki kwenye top 10 ya ballon d or.
Ndio mchezaji pekee aliepo sasa kwenye soka la ushindani ambae kaingia kwenye chat ya top 10 mara nyingi zaidi.