Vin hajawahi labda mbappeVini na Mbappe wamewahi kukosa.
Wamecheza vizuri sana leo ATLETICOJamaa wanakaba vibaya
Noma sana nimeifananisha na Azam fc wakikutanaga na Yanga jinsi wanavyokaza mishipa[emoji23]
Waweza fikiri ni BARCA ya 2012 - 2014
Sahihi, huwa wanatukazia - ugomvi 😃Noma sana nimeifananisha na Azam fc wakikutanaga na Yanga jinsi wanavyokaza mishipa
Dogo aligusa mpira mara mbili ..Sasa sijui bahati mbaya au alikua anafanya janjajanja.Penalty ya Alvarez alifunga, kwa nini wakaandika amekosa?
Double TouchPenalty ya Alvarez alifunga, kwa nini wakaandika amekosa?
Mmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Vin hajawahi labda mbappe
Tukichukua ubingwa ndio mjue sio wa kubebwaMmeshinda kwa penalty ila mtalala na viatu leo
Penalty ya Alvarez alifunga, kwa nini wakaandika amekosa?
Mmeshinda mkuuMi nimeamua kulala nikiamka nitaangalia matokeo.
Mkuu Vincenzo Jr nilirudi kuangalia matuta,japo nilikua na wasi wasi sana.Mmeshinda mkuu
Mmeshinda mkuu hongereni sanaMkuu Vincenzo Jr nilirudi kuangalia matuta,japo nilikua na wasi wasi sana.