Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuongea upuuzi, timu gani ndogo unayoijua ina best Academy kuishinda Real Madrid? Unajua watu kama Carvajal wametokea wapi? Angalia wakatalani walivyo na timu nzuri unafikiri ile ni timu ndogo?
hoja yangu ni kuwa timu kubwa haitakiwi kutegemea academy, kutegemea academy ni sawa mentality za kimaskini. timu kubwa zinahitaji best players in the market.
Carvajal alitoka academy akauzwa mbali then Madrid ndio wakenda kumnunua tena baada ya kuonyesha uwezo mkubwa huko alipo.