Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Refa did a collosal error. Ile sio PK never.

Asensio ni kitasa. Ramos reincarnated.

Rodrygo is really underrated.

Ceballos kaupiga mwingi sana although anakiwasha kila akipewa nafasi.

Vini showed up 2nd half. Vini sio player wa kucheza team football yeye ni mtu wa one-on-one, dribbling past opponents inabidi kocha ajue strength yake na amtumie hivyo. Akipewa mpira na uhuru wa kucheza he's world class. Hakua na attitude Leo.
 
Dogo asencio ashaonesha uwezo tayari.

Kwa sasa anahitaji mwendelezo tu.
20250209_042421.jpg

Kijana anakuja vizuri, jitihada ziongezeke tu.
 
Shida ya ancelotti ni mara chache kuvumbua vijana , kwasababu huo upande wa lucas ulitakiwa kuwa na mbadala hata kwa academy ya timu.

Ndio maaana Guardiola hawezi vumilia upuuzi kama anao sacrifice ancelotti,kuwa yeye akishaona pengo mara moja huchukua hatua. Nashangaa kuna game tchouameni akigusa tu mpira anazomewa lakni carlo mechi ilofata alimpanga fresh tu bila bugdha🙌

munayachukulia kiwepesi sana, kama wachezaji wa academy wanaweza solve kiwepesi, kwanini Pep amespend 200million January? si angetumia vijana wa Academy tu, kumlaumu carlo kwa matatizo ya uongozi wa timuni jambo la ovyo sana.
 
Back
Top Bottom