Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Game tumeiua kikatili sana hii, magoli yote ya swagger.
Mechi imeisha bila kadi ya njano kwa wote.
Sisi tuna Faida zaidi kwa hili la kadi maana game ijayo tungewakosa baadhi ya wachezaji muhimu endapo wangepata njano leo.