IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,805
- 7,258
Kiungo tegemezi valuvede 🤣🤣🤣🤣🤣
Sio kwa ubaya tukumbushe bingwa wa uefa 2024/2025 ni team ipi,utawasaidia wasiojua footballTimu la kuunga unga tu eti uchukue uefa forwad brahimi 😂😂😂😂😂
Amekusikia MkuuHuyu Mbappe maninaaaa....anatucost sana sana.
Afadhali Bellingham ameipiga ile penalty, ni mpigaji mzuri sana, sio mbaya akapewa hilo jukumu mazima.
Hahaha, jamaa amekosa licha ya kuwa alishampiga Golikipa chenga., inatokea lakini., kazi ipoMbappe tena
Nindhani alipania sana kuwakera PSG, bahati mbaya mambo hayajaenda alivyotaka., kilichobaki ni atulize kichwa tu sasa,afanya mazoezi kadri anavyoweza.Huyu Mbappe magoli anayokosa ni 99% ya nafasi anazopata,inatakiwa afanye mazoezi sana yakutumia nafasi..
Hiyo itakuwa safi sana...maana kwa kwel anatucost na anakuwa na haraka na maamuzi sana,hana utulivu eneo la mwisho.Nindhani alipania sana kuwakera PSG, bahati mbaya mambo hayajaenda alivyotaka., kilichobaki ni atulize kichwa tu sasa,afanya mazoezi kadri anavyoweza.
Kuna sehemu nimeona kuwa Club imemcheck Zidane ili afanye mazungumzo na kijana,