pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
***** usengerema huu...ni wazi babu carlo na benchi lake hawajafanya study zao vizuri msimu huu,lakini pia wachezaji tulio nao na uwezo wake wakuwapanga kulingana na uwezo wao ni mdogo sana,kwa mechi zaidi ya mbili zilizopita dalili ya timu kupitika haswa kwa counter attack zilijionyesha wazi,Rudiger na Miltao ni Beki kwa asili zinazocheza namba moja na zote zina tamaa yakupanda mbele na huwa haziwasiliani uwanjani,so utakuta wanategeana kuucheza mpira na kurudi kwenye maeneo yao lakini pia kwa miaka nenda rudi huwa tunakuwa na mabeki wenye roho mbaya,sasa tuna mabeki wana roho za kike,siyo wapambanaji haswa kiasi kwamba washambuliaji wa timu pinzani waogope goli...huku mbele Mbape ameshindwa kabisa kuwa mfungaji na wala siyo mtengeneza nafasi kwa wengine..Lunin nlisema ni kipa wa kawaida sana,uwezo wakuzungumza na beki zake ni mdogo na anafungwa magoli ambayo unasema angeweza fanya kitu.
