Game ilikua nyepesi toka mwanzo ila mzee ndio anazifanya game kama hizi kua ngumu.
Ningesikitika sana kama tungepoteza mbele ya Dortmund hii tena nyumbani
mkuu timmu imeshinda 5 bado hujaridhika?
Game ilikua nyepesi toka mwanzo ila mzee ndio anazifanya game kama hizi kua ngumu.
Ningesikitika sana kama tungepoteza mbele ya Dortmund hii tena nyumbani
mutaelewa tu, itafika muda tutaongea lugha moja.
Tumeshinda yes ila bado kuna changamoto. Hii changamoto haijaanza jana. Kila game inakuwa kama final kitu ambacho sio sawa kwa RM kuna games ni za ku cruise tu.
Goli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.mkuu timmu imeshinda 5 bado hujaridhika?
Mfano Real Madrid wangetangulia kupata goli 2 baadae wakapigwa 5 mngesemaje, maana timu imeshinda bado mna lawamaGoli 5 hazifichi madhaifu ya Timu kwa ujumla.
Bali zinampa sifa mtu mmoja au wawili tu.
Vipi siku Vinny akiwa hayupo?
Sisi tunataka timu icheze hata goli zisipofika 5 ila tuone muunganiko wa timu sio kumtegemea Individual performance.
Kwa Dortmund hii isingewezekana kuchomoa goli 2 na kushinda goli 5 hata kama kocha wa Madrid ningekua mimi.Mfano Real Madrid wangetangulia kupata goli 2 baadae wakapigwa 5 mngesemaje, maana timu imeshinda bado mna lawama
Hakunaga muha mrefu...Mimi nikiwa kama Shabiki wa Barcelona nasema tumechoka kuendelea kutembeza goli tano tano kwa wapambe wenu sasaivi tunawataka nyie Real madrid kenge manyoya nyie.
Tutawabutua Goli za kutosha Home/Away na huo ndo utakuwa mkono wetu wa kwaheri kwa Huyo mbabu wenu carlo.
Nmeangalia mpira, goli walizo pata Dortmund hazikua wametuzidi ufundi ni mistakes ndogo ndogo kwenye marking ni kama ile game ya Liverpool last season walitutangulia goli mbili za faster tukapiga comeback ya goli 4Kwa Dortmund hii isingewezekana kuchomoa goli 2 na kushinda goli 5 hata kama kocha wa Madrid ningekua mimi.
Sisi Hatulaumu kupata ushindi tunalaumu mchezo ulivyokua hasa Kipindi cha kwanza.
Kama hua huangalii mpira basi Soma kwa lengo la kuelewa sio ili kubishana mzee!!
Mimi ni mrefuHakunaga muha mrefu...
Na Siku zote mtu mfupi ukibishana nae unapoteza muda wako tu 😁
Sawa marking pia hata kwenye Attacking ni Yale yale.Nmeangalia mpira, goli walizo pata Dortmund hazikua wametuzidi ufundi ni mistakes ndogo ndogo kwenye marking ni kama ile game ya Liverpool last season walitutangulia goli mbili za faster tukapiga comeback ya goli 4
Utakua mrundiMimi ni mrefu
HujakoseaUtakua mrundi
Modern day defenders Raha Sana kukabwa nao na atawatesa sana.Right now Vini is a nightmare to the European defenders and their fans. Tunaomba humiliation kama hii iwe kinyume na sheria za kandanda
View attachment 3133796
Modern day defenders Raha Sana kukabwa nao na atawatesa sana.
Kwahiyo Sheria zinafnya watu wakabane Kama wanacheza pool table.Football siku hizi ni fair game, sheria zinaongezwa kila siku. Hakuna kuvunjana miguu kama enzi wakina Maradona.
Hiyo unayoiona inakimbia hapo uwanjani ni hundreds of millions Euro, sasa wewe uje tu umrikie umvunje hivi hivi, unafanya masihara nini!
Mbona watu wengine mnapenda ligiKwahiyo Sheria zinafnya watu wakabane Kama wanacheza pool table.