Kibendera kawabeba kwann awahi kunyanyua kibendera kwenye tight offside call km ile ilhali alitakiwa aache gemu iendelee VAR iamue baadae?1 Madrid angekuwa amebebwa mbona goal lake alofunga Kwa foul lilikataliwa hadharani na alikubali kiroho safi. Na ilikuwa ni haki likataliwe sababu Nacho alimsukuma mtu
2. Ile last attempt (offside) ya bayern ni kwamba filimbi ya kusimamisha mpira ndio ilitangulia halafu goal la Bayern likafuata je lingeruhusiwa Ingekuwa ni haki ?