Hesabu za don carlo ziljibu kama uliona vizur kipind cha pili Vin alishuka pembeni na akawa anatengeneza nafasi nyingi zikawa zinakosa mtu wa kuzitumia alitengeneza nafasi kama nne ivi mipira ikawa inapita tu had kuna mda alikua ana amua a drive akafunge mwenye
Joselu alingia kumalizia nafasi zilzokua zinatengenezwa zinakosa mtu wa kumalizia na Ndio shida ya madrid ilikua apo na camavinga na Luca modric walingia kupush mashumbulizi katika ya kiwanja Brahim diaz sub yake ilikua ni kuongeza pressure eneo la kushoto la Bayern asa kupunguza kasi ya Davies maana alikua anapanda kwahyo kitendo cha Brahim kuwa anashambulia sana kilimfanya Davies aze kurudi kusaidia kukaba kiufupi Sabu za Carlo zilikua tecnical sana