Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mimi naona bado makocha wengi wataendelea kupokea vipigo vya dakika za jion nakushangaza hapa Bernabeu kwa sababu akili ya wadau wote wa madrid tunaamini mechi imeisha pale refa anapopuliza filimbi yakumaliza mchezo.

Ndo maana naamini kuwa "pale ambapo timu pinzani inaona imeikamata madrid katika mchezo,basi ukwel ni kuwa timu hiyo ndio imekamatwa na madrid imeilazimisha hiyo timu icheze hivyo ili madrid aweze kupata ushindi",

Matokeo ya namna hii yenye msisimko hayaji bahati mbaya wala bahati bali ndio tabia za club bora dunian namna inavyouendea mchezo nakutaka matokeo.
Na ndio kilichomua thomas kuna mda alikua anaamini mechi imeisha wakati game ilikua mbichi kabisa
 
Wewe sio Real Madrid wala nini, kwanza hata football yenyewe huijui, okay tuelezee unataka kusema nini? Tuambie hii mbeleko ikoje?
Sawa, sihangaikagi kubishana na Mtu ambaye ana mahaba badala ya akili.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
20240509_002449.jpg
 
Waambieni kwamba hawapaswi kuamini kuwa wameshinda mpaka wahakikishe refa amepiga filimbi na wachezaji wote wa Real Madrid pamoja na mashabiki wawe wametoka uwanjani.

HalaMadrid!
Kweli refa alipiga filimbi, filimbi ya mbeleko
 
Back
Top Bottom