Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Joselu anaongeza goli hapa.,
Hili goli nimelipenda kwasababu, moja ni counter halafu cha pili Nacho ndio ametoa assist., angeweza kufunga ila hakutaka uchoyo akaona na Joselu na yeye aingie kambani.
 
1714849415351.png
 
TONI KROSS

kijana aliyetemwa na uongozi wa Bayern (board) kisa kutotaka kumuongezea mshahara sawa na gotze wakizaniya kross hayupo sawa na wenzie yani kwamba yeye sio world class na kupelekea kuwa na mahusiano mabaya na uongozi uliopelekea kutaka kuuza

mbali na mtafaruko huo pep Guardiola akiwa kama manager wa bayern ali isistiza board wamuache kijana akue na a revolve kwani alikuwa aki mtumainia kuja kuwa World class uko mbeleni

hawakumsikiliza pep and they made a huge mistake....

they finally decided to depart him to other clubs one of it ilikuwa ni Barcelona... but guess what

Barcelona rejected toni... not once but twice (2) under their manager luis Enrique he kept insisting that ivan racktic would be a better recruitment more than Bayern Munich CM ( toni kross)

toni akuwa na mahala pakwenda and that's where God stepped in and show him miracle wonders... Bayern Munich received an inquiry from Madrid they came with an offer for 25million for the upcoming goat midfielder one of the maestro of football

he arrived in Madrid na wala hakuwa a shocking signing only 8000 fans arrived at his presentation the same year they presented james Rodriguez where more than 40000 fans arrived for the Colombian star

and the rest to this world was history where toni managed to win all the trophy at the club level with Madrid and it was a loss for losing him for Bayern munich

ladies and gentlemen the king maestro TONi KROSS
 
TONI KROSS

toni akuwa na mahala pakwenda and that's where God stepped in and show him miracle wonders...
toni managed to win all the trophy at the club level with Madrid and it was a loss for losing him for Bayern munich
Wewe ni muongo.
Hujui mpira.
Mpira = biashara + championship

Timu haiwezi kukumbatia wachezaji wote hata wawe wazuri aje... Eti kisa wataleta ushindi. Kumbuka Payroll inawahusu.

Kwa akili yako, basi hakuna timu ambayo haijaingia hasara kwenye uuzaji wa wachezaji.

  • Madrid aliingia hasara kumuuza Robben.
  • Chelsea aliingia hasara kumuuza Debruyne
  • Madrid (tena) aliingia hasara kumuuza Dimaria kisa Rodriguez
  • Arsenal aliingia hasara kumuuza Gnabry
  • Man United waliingia hasara kumuuza Ronaldo
  • Tottenham waliingia hasara kumuuza Modric

Usiwe una copy na kupaste content za watu... Andika uchambuzi wako binafsi.
 
dah for context wise ni kitu umeshindwa tuliza akili kufungua ufahamu kuelewa nini goal ya hio makala hapo juu
 
Back
Top Bottom