mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 789
- 1,264
Nope sio kama watu hawamtaki carlo lakini mpira wa sasa unaenda unabadilika let say tulitolewa na city kwa penalty then watu lazima waje juu sababu tulikuwa na kiwango kibovu zaidi ya previous H2H with them
carlo tangu atue ni mtu ambae ana implement simplier philosophy yani sio complex minded inapelekea mashabiki wawe wana rely on luck and Madrid composer of winning mentality yani ( sisi hata tukipewa 1% dhidi yao wao wapewe 99 % tutashinda tu)
Huo mpira wa bahati bahati huwa unakuwa na mwisho tunataka tutengeneze au turudishe legacy yani mtu akikutana na Madrid lazima atetemeke kama ilivo kwa city sio mtu anasema tunapita ki bahati bahati a good playstyle which is somehow relevant na ile era yakina cr7 modric casemiro...
so we need someone like xhabi who is undoubtedly is or will be one of the greatest along side top elites kama pep arteta ambao washatengeza high standards... si tumechoka tunacheza mechi tunatetemeka tunakata tunacheza na mtu kama man city yeye mwenye anatupa respect kama anayo wapa Liverpool kuwa ni wagumu na anawaogola kiaina na sio unafki kuwa anacheza na sis huku akiwa aona madrd kwa bahat waliyo nayo ndio kitu pekee watatumia kututoa
Msikilize bernado silva