United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
kipindi cha kwanza dakika za mwazo mwazo Ndio kacheza Mpira kidogoToni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.
Hatuna haja ya kiungo mkuu camavinga na tchou watamaliza izo kazi believe meyap yani hapa tuki mngoa huyo dogo hakim hapo psg na mbappe basi beki mmoja wa kati nq kiungo mmoja ball carrier kama modric + kroos mbele mbappe na rodrgo basi tupo on top
Mashabiki mandazi ndo hawa sasa. Tangu lini kiungo anacheza defensive umuone ana gaa gaa na mupira. Hivi huyu ni madrid mwenzetu au n wazee wa livescore.Toni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.
Sura ta KAZI hiyo🤣🤣🤣🤣🤣Rudiger ana sura ya kijambazi
View attachment 2966849
FC Barcelona ndio bingwa wa UEFA champions League mwaka huu 2024.
Tunza hii risiti mtani.
Shida anazunguka sana kila mahali yupo lazima pumzi ikate, Madrid baada ya kupata goal waliridhika sana tatzo
Bellingham ndo alipaswa kutolewa kabla ya Rodrygo sijui kwanini coach hamtoi
tujipange tena kwa msimu ujao still anceloti has to go
Madrid needs a new tactical man to fight with pep bila hivo tutaishia hapa hapa na kutegemea miujiza na historia
Sawa lakin De bruyne alisumbua sana kati kiasi kwamba kuzuia iyo mipira kwake na kiungo wengine wa Madrid.Mashabiki mandazi ndo hawa sasa. Tangu lini kiungo anacheza defensive umuone ana gaa gaa na mupira. Hivi huyu ni madrid mwenzetu au n wazee wa livescore.
Grow and learn football tactics au tukupeleke uzi wa akina arsenal dogo.
Jana kroos kacheza defensive sana na akina camavinga sijui kama unaangalia mpira kwa jicho la tatu.
Kwa msaada tuu rudi uangalie mechi ya kwanza ya YANGA VS MAMELODI kwa mkapa angalia majukumu ya JONAS MKUDE ndo ujue maana ya DEFENSIVE TACTIC ni nini.
Kama sio MKUDE game ile ya kwanza yanga angekula chuma nyingi.
Take a note then learn.
Pia upande wa Carvajal ameshachoka tukimpata Trent Alexander itakuwa vizuri alaf mbele pale aongezeke mbappe na kiuongo mnyumbulifu kam Modric tutakuwa tumewin, Safu ya ushambuliaji vijana hawa Rodrygo,Mbappe nawaamin sana uyu Vini anamakuzi sana sometimes
Valvede niliona anazunguka sana kati na upande wa kulia juu kule ila Belli alikuwa hadi anakuja beki uku mara yupo juu mara upande wa Vin kila mahalimbona Valvelde ambae anazunguka zaidi bado alikua yupo vizuri
Kwa upande mwingine wa kumwaga majalo ni noma na ndo uzuri wake ulipo sio kwenye kukaba tuMkuu achautani, Trent ni mua, tena ni uchochoro kabisa. HUyo Hafai.
Kwa upande mwingine wa kumwaga majalo ni noma na ndo uzuri wake ulipo sio kwenye kukaba tu
Ameniumbua huyuAsante Lunin, nsamehe Sana nilikusema vibaya mechi iliyopita sasa sikudai.View attachment 2966893