Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Gari limewakaaaaaa
Match rotation mkuu na fatique pia. Ameupiga mwingi sanaBabyngam kadri ya siku zinavyokwenda anazidi kupotea
We hua unaangalia mechi au unasubiri matokeo?Babyngam kadri ya siku zinavyokwenda anazidi kupotea
Ni katika channel gani yeriko anafanyiwa mahojiano, napenda sana military intelligence and geo_politicsMatch rotation mkuu na fatique pia. Ameupiga mwingi sana
Yeriko ndo naniNi katika channel gani yeriko anafanyiwa mahojiano, napenda sana military intelligence and geo_politics
We hua unaangalia mechi au unasubiri matokeo?
Kuna wengine hua mnaangalia score line baada ya mechi alafu mnazungumzia viwango vya wachezaji.
Match rotation mkuu na fatique pia. Ameupiga mwingi sana
Wasisahau kuwa, game yenyewe waliyopoteza ni sie tuliwafunga kwao.,Vijana wa kule Facebook, eti Girona kapoteza game mmoja tu tangu La Liga ianze, nikawaambia leo anapoteza ya pili. Sijui kwanini hii timu watu wanaichukulia poa! Acha Rudiger na Militao warudi ndio tutaheshimiana huko UCL