United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Valencia leo wamegoma kupigwa Tano
nazani issue ya racisim.ni kama vile Bado anakikoroshoVin anashida gani huyo dogo
dahaa na wameshatangulia tayariHawa wahuni hapa tangu ligi imeanza wamefungwa goli sita tuu. Pagumu sana hapa this season
Chuma cha pili. Leo tumeisha leodahaa na wameshatangulia tayari
Carlo katoa macho tu hajui afanye NinDaah! nini hii goal mbili ndani ya dakika 2
Haisaidii kituYapigweeeeeeeeeeeeeeee
Nawachukia sana nyie kenge
Vin kafunga Goli anashangilia kwa kuwaonesha ishara ya kupinga Racism ila mijamaa Bado inamtukanaHT 2-1