Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Hao ndio vijana walio uwanjani muda huu wakituwakilisha dhidi ya Atletico Madrid, kwenye Kombe la Mfalme round ya 16
Morata sio Kagere 😅Last night we went down 4- 2 mwanetu morata anajuaga kutuadhibu sana anasahau sisi ndo tumemkuza. We have lost one silverware.
Last game tulifanya uzembe ila 5+ ilikua inawezekana kabisaShukran kwa masahihisho, mwenyewe nilisahau kama Mwaka jana tuliwapiga goli 4, hawa jamaa siku tukiwapiga goli 5+ ndio nitaridhika.,
😂 mnataka mlipe kisasi, waliwanyanyasa sana enzi za MessiLast game tulifanya uzembe ila 5+ ilikua inawezekana kabisa
Ile game ilikuwa na intensity ya juu sana, yaani ule mchaka mchaka ulikuwa sio, halafu sijui kwanini aliaamua kuanza na Modric, nilitamani aanze Kroos na Tchouameni, na ikiwezekana Camavinga aanze kama beki wa kushoto, tungeweza kubalance mambo, kwasababu jamaa alikuwa na watu wengi sana pale kati.,Last night we went down 4- 2 mwanetu morata anajuaga kutuadhibu sana anasahau sisi ndo tumemkuza. We have lost one silverware.
watoto wameongeza tena aseee mbona ni hatariNingependa kuona Mendy anaenda nje, nafasi yake aingie Camvinga, pale mbele ikiwezekana atoe wote, aingie Joselu na Brahim Diaz, baadae anaweza kumtoa Tchouameni akaingia Arda Güler., hii game inahitaji watu wachezaji wanaoweza kumiliki mpira na kutengeneza nafasi..
Game hii watoto lazima wafe washachanganyikiwaTuna dakika 15 za kupindua meza., je tutafanikiwa?
Vamooooos Real¡¡¡