Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Hatimaye Atletico wamekubali kulala, game moja ya kibabe sana.,
Sub ya Camavinga na jamaa zangu wawili Joselu na Brahim imebadili sana mchezo kwa kiasi kikubwa.,
Next tunasubiria kati ya Barcelona ama Osasuna