Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Uliangalia kupitia channel gani man? Niliitafuta bila mafanikio,
Barcelona wana team nzuri sana na wana vipaji haswa, ila mdogo mdogo tutawafikia tu, siwezi kuibeza team yetu kwa kuwa ninajua fika kiwango cha wapinzani wetu, juzi tulitoka droo na Chelsea kwenye Champions league, ni hatua nzuri kwa kuwa Chelsea na wao wana team nzuri sana.
Linda na wenzie akina, Olga, Naomi, Caro na wengine, wana viwango vizuri tu, ila wanahitaji uzeofu na wakali wenzao kuwaimarisha.
Score808.com
 
Sure team imebadilika kuna progress naiona Naomi yupo vizuri na Olga
 
Tumepigwa 2-1
Eeh man niliangalia dakika kadhaa za mwisho, yule kocha ana game kadhaa tu endapo hali itabakia hivi hivi, hii ni game ya pili wanapoteza mfulilizo, team niliona kama haina muunganiko, wanategemea zaidi uwezo wa mchezaji mmoja mmoja badala ya team.
Ile site ipo poa sana man, shukran sana
 
1701017381543.png
 
Jamani nyie Bellingham ni jini , haongelewi sana ila huyu dogo ni jini linalotengenezwa ,na majereha asisopata atakuja kuwa bonge moja la monster trust me

jamaa ni another overrated pice of shit, Media za kiengereza zinatumia nguvu nyingi kuaminsha kuwa anaibeba Real Madrid kitu ambacho hakina uhalisia. Licha ya kuwa simkubali Vini lakini huyu jamaa hawezi kumzidi vini wala Rodrygo kwa uwezo.
 
Back
Top Bottom