Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Tuna mwacha hapo hapo. Siku zote madrid tunacheza kwa kutumia false nine. Kikosi cha madrid bado MBAPE na ALFONSO DAVIES tuwe tumemaliza kazi.Jude mumfanye awe striker Tu mazima ,mumtoe kwenye mildifield ,dogo anajua kucheka na nyavu sana huyu
So far tukiwaridisha watoto wetu ODERGAD, KOVASIC, REGULLION na wale makinda wa brazil akina ENDRIC kazi itakuwa imekeisha kabisa
