Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

17d412cb-4156-4394-be9d-6fd6ebed964c.jpg

Halla Madrid
Los blancos forever [emoji836]️[emoji836]️[emoji836]️[emoji829]️[emoji829]️
 
Kuna taarifa tutamkosa tchouameni kwa kipindi cha miezi miwili. Ni zamu ya camavinga kucheza dimba pale.
Daah, ni pigo sana kwake na kwa team kwa ujumla, alishaanza kukamata lile dimba vizuri, alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri., jana alitandika mkwaju mmoja mqtata sana, sema Ter stegen aliuona, ninadhani hata ile iliwaongezea vijana confidence kuwa hawa jamaa uwezekano wa kuwapiga upo., Augue Pole na arudi dimbani mapema iwezekanavyo.

Camavinga kiukweli ninatamani acheze kama left back, akikipiga pale tunakuwa na advantage, kwanza yupo vizuri upande ule na pili anakaba vizuri pia.,
Ingizo lake jana na mwenzie Luka ndio lilituletea matokea chanya.
 
Jude mumfanye awe striker Tu mazima ,mumtoe kwenye mildifield ,dogo anajua kucheka na nyavu sana huyu
Tuna mwacha hapo hapo. Siku zote madrid tunacheza kwa kutumia false nine. Kikosi cha madrid bado MBAPE na ALFONSO DAVIES tuwe tumemaliza kazi.
So far tukiwaridisha watoto wetu ODERGAD, KOVASIC, REGULLION na wale makinda wa brazil akina ENDRIC kazi itakuwa imekeisha kabisa
 
Daah, ni pigo sana kwake na kwa team kwa ujumla, alishaanza kukamata lile dimba vizuri, alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri., jana alitandika mkwaju mmoja mqtata sana, sema Ter stegen aliuona, ninadhani hata ile iliwaongezea vijana confidence kuwa hawa jamaa uwezekano wa kuwapiga upo., Augue Pole na arudi dimbani mapema iwezekanavyo.

Camavinga kiukweli ninatamani acheze kama left back, akikipiga pale tunakuwa na advantage, kwanza yupo vizuri upande ule na pili anakaba vizuri pia.,
Ingizo lake jana na mwenzie Luka ndio lilituletea matokea chanya.

Hapo ndio camavinga alicheza zaidi msimu uliopita. So usitie wasi wası
 
Back
Top Bottom