Ule mpira ulijaa mguuni vizuri, jamaa wa Napoli wakiangalia marudio ni lazima wampongeze, sio kwa mkwaju ule.Valverdeeeee
Mdogo mdogo team inakaa kwenye mstari, ujio wa Kroos kwenye midfield na Camavinga kama beki wa kushoto umetusaidia sana., uwepo wa hawa watu unatusaidia ku-control dimba vizuri, hii inamsaidia Tchouameni kutimiza majukumu yake vizuri.Hapa naona bado jude hatujampata vizuri yuko chini ya kiwango, akiiva siku si ndio balaaa
Mdogo mdogo team inakaa kwenye mstari, ujio wa Kroos kwenye midfield na Camavinga kama beki wa kushoto umetusaidia sana., uwepo wa hawa watu unatusaidia ku-control dimba vizuri, hii inamsaidia Tchouameni kutimiza majukumu yake vizuri.
Tumebaki na tatizo la kujilinda tu, na huyu Kepa kiukweli simuamini wala nini, nilitamani Lunin aendelee kukaa golini.
Militao na Alaba ni majeruhi., Nacho anatumikia adhabu, baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu game iliyopita dhidi ya Girona., so tutaenda hivi hivi mpka hapo Alaba ataakapokuwa fit.Tchou kama center back jamani tumeishiwa amaaaaaaaa



Hapa naona bado jude hatujampata vizuri yuko chini ya kiwango, akiiva siku si ndio balaaa
Joselu amewaokoa, ilikuwa tuwapige mkono