Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sanaaaaaaaa....

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Sasa kwa jinsi ilivyo CD tumebaki na Rudiger tu, na hapo hatujui atapewa adhabu ya game ngapi kwa maana ile ni straight red card., mtu mmeshashinda goli tatu, bado dakika mbili game imalizike, kisha anaenda kufanya ujinga kati kati ya uwanja, kwanza kwa mpira isingekuwa rahisi kuufikia.
 
Kikosi kilichosafiri kwenda jiji la napoli
81a48071-57e3-4d98-8fd6-47e5376aab95.jpg

0d271c82-9fff-4045-8b40-d870938d7325.jpg


Kwa game ya kesho nategemea kuona brahim akianza kutokea wingi ya kulia, tusubiri kuona kocha ataingia na line up gani.

Ila pia kuna big chance ya camavinga kucheza beki 3
 
Back
Top Bottom