Sielewi kama ni mentality ya wachezaji ama ni mfumo, wakati tunacheza 4-3-3 tulikuwa na idadi kubwa tu ya vijana kwenye eneo la tatu ya uwanja, ila sasa unakuta mara wawili ama watatu wakati huo tunacheza 4-4-2.
Pia namna ya kujiposition kwenye midfield ni tatizo, kuna muda unaona Camavinga na Tchouameni wapo sawa kule chini, ama Valverde yupo juu winga ya kulia mwenyewe, sasa hiyo build up wataifanya vipi kama tu kujipanga uwanjani ni tatizo.
Ni afadhali Carlo akaamua tu sasa kurudi kwenye mfumo uliozoeleka., kuliko huu anaotumia sasa.