Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Raul na Xabi Alonso wapo wanapasha., jamaa akiweka mguu nje vijana wanatimba, hao ndio wataweza kwenda sawa na hao vijana ., Ancelloti ana shida ya kuwa na matumaini yake sehemu moja, sio mpenzi wa kubadilika.

unaishi kwenye ndoto, kama hao Raul na Xabi wangelikuwa na uwezo wasingelikuepo hapo walipo.
 
Our Starting XI;
Kepa; Lucas Vazquez, Rudiger, Alaba, Fran Garcia; Camavinga, Kroos, Valverde, Modric, Bellingham; Rodrygo
 
Leo tuko uwanjani na majirani sijajua line up ya mwalimu ila game ya leo tunaitaji winga machachari, ijapokua leo vin amerudi ila sidhani kama atakua na ule utimamu
Vinicius hayupo kwenye kikosi, ana shida ya tumbo, so atakuwepp kwenye game zitakazofuata
 
Hivi tatizo ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa hizi beki zetu au ndio muendelezo wa ubovu wa kocha wetu hana mbinu za kisasa?

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

Shida sio wachezaji shida ni kochi. Kocha anakjla mchezaji sisi hao kila game we concede, kwa mpira wa sahivi lazima timu ipende kukaa na mpira.

We kila timu tu struggle kudadeki
 
Shida sio wachezaji shida ni kochi. Kocha anakjla mchezaji sisi hao kila game we concede, kwa mpira wa sahivi lazima timu ipende kukaa na mpira.

We kila timu tu struggle kudadeki
Eee mzee..yaan timu haina uwezo wakukaa na mpira kabisa yaan,timu hata haijulikana tunacheza kwa mfumo gan...timu inategemea counter attack nakubahatisha kila game aisee...

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom