Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,921
Toni kroos na Luka Modric hawa jamaa MUNGU awabariki sana wanazeeka na utamu wa mpira wao miguuni Daah
Kumbe man wewe unatuombea mabaya? Kwamba hakutakiwa kufunga kwa kuwa kipa aliutema mpira?KAMA KAWAIDA YAKE KWA GOLI AMBALO ALIKUWA NA NYAVU BAADA YA KIPA KUTEMA.
Toni ndie alibadilisha mchezo, bila ya yeye kuingia Real Angelikufa miguu juu kwenye ile mechi.
Huyu mjapan Kubos fala sana...akiwa madrid huwa hachezi kwenye kiwango hiki,akiwa timu zingine ndo anakaza tako kichizi yaan..
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Anataka kutuonyesha kitu tulichopoteza kwake ili maboss wamfikirie.,Huyu mjapan Kubos fala sana...akiwa madrid huwa hachezi kwenye kiwango hiki,akiwa timu zingine ndo anakaza tako kichizi yaan..
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Raul na Xabi Alonso wapo wanapasha., jamaa akiweka mguu nje vijana wanatimba, hao ndio wataweza kwenda sawa na hao vijana ., Ancelloti ana shida ya kuwa na matumaini yake sehemu moja, sio mpenzi wa kubadilika.Hii timu ina kikosi ina kila kitu, tatizo lipo kwenye coaching tuu.. maana hadi sasa tunatembelea nguvu ya wachezaji. Tujipe muda
Ila naona msimu unaisha na kocha mpya
Maana naamini hii project yote sio ya don carlo
Nakubaliana na wewe kabisa..Hii timu ina kikosi ina kila kitu, tatizo lipo kwenye coaching tuu.. maana hadi sasa tunatembelea nguvu ya wachezaji. Tujipe muda
Ila naona msimu unaisha na kocha mpya
Maana naamini hii project yote sio ya don carlo
Hii timu apewe Alonso..Raul na Xabi Alonso wapo wanapasha., jamaa akiweka mguu nje vijana wanatimba, hao ndio wataweza kwenda sawa na hao vijana ., Ancelloti ana shida ya kuwa na matumaini yake sehemu moja, sio mpenzi wa kubadilika.
Hapo sasa ninapumua kidogo, hapo vijana wajitahidi waongeze goli la tatu ili tujihakikishie ushindi.