Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

huyo dogo baada kufanga goli mbili tatu wadau wameanza kumwaga radhi wakihisi wameshapa mtu mpya wa kuibeba timu. huku vyombo vya habari vikiengereza kimeshaanza kuchochea wakimnadi kuwa anaibeba timu, Wakati jamaa uwanjani anapotea kabisa wakati anacheza very key position, team imekuwa iki stragle mno kwenye creating huku yeye akicheza hiyo position kuu ya kufanya creating.
dogo ni overrated english player ambaye ni very average player, mbeleni ndio tutakuja kujua kuwa badala ya kutafuta proper replacement ya Benzema na Modric tumevamia mkenge.
Endelea kumjudge vibaya dogo.leo Tena katupa point 3 safi.💪💪
 
Tunaenda internationally break na point zetu 16. Hivi ndivyo madrid tunafanya. Ukweli getafe wamefanya kazi kubwa sana. Golikipa wao alikua anaokoa hadi unabaki kushangaaa.

Tchouameni kama kawaida kanichezea ile dimba vizuri. Ile pesa tuliyotoa monaco inabidi tuwaongezee tuu.

Jude jude jude
 
Chuma hiki
1693690640082.jpg
 
Rodrygo kawa mbinafisi sana Kuna mda Jana sehemu ya kutoa pasi yey kangania mpira anataka awarambe chenga uwanja mzima Hadi wakawa wanamchapa kiatu mda mwingi Toni bado ni genius

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hilo tatizo niliwahi kulielezea hapa, kuna haja ya kuwa na kiongozi pale mbele, sema hili tutaendelea nalo mpaka tupate Mwalimu mwingine, ama Ancelloti abadilishe falsafa zake huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom