Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwani Mkuu unataka kusemaje.,

huyo dogo baada kufanga goli mbili tatu wadau wameanza kumwaga radhi wakihisi wameshapa mtu mpya wa kuibeba timu. huku vyombo vya habari vikiengereza kimeshaanza kuchochea wakimnadi kuwa anaibeba timu, Wakati jamaa uwanjani anapotea kabisa wakati anacheza very key position, team imekuwa iki stragle mno kwenye creating huku yeye akicheza hiyo position kuu ya kufanya creating.
dogo ni overrated english player ambaye ni very average player, mbeleni ndio tutakuja kujua kuwa badala ya kutafuta proper replacement ya Benzema na Modric tumevamia mkenge.
 
1693501984827.png
 
You are wrong
 
Leo tuko uwanjani, tumerudi kucheza home ground na ni game ya mwisho kabla ya international break.

Hii game leo ni ushindi wala hatuna cha kuhofia. Leo nategemea joseluu ataanza kama namba 9. Nyuma yake atacheza rodrygo na jude kama free player. Mpira utakua wa moto[emoji91]
 
Mapema leo kabisa, 17:15 hrs saa za Afrika Mashariki.,
 
Leo tuko uwanjani, tumerudi kucheza home ground na ni game ya mwisho kabla ya international break.

Hii game leo ni ushindi wala hatuna cha kuhofia. Leo nategemea joseluu ataanza kama namba 9. Nyuma yake atacheza rodrygo na jude kama free player. Mpira utakua wa moto[emoji91]

Kosi limetoka na mbele amesimama joseluu nyuma yao jude na rodygo. Kocha kamuongeza na modric ili kuongeza possession kwenye eneo la mpinzani.

It opening game kwetu.

Hala Madrid
 
Back
Top Bottom