pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Kijana ninaona ana upepo wake wa tofauti,
Kijana ninaona ana upepo wake wa tofauti,
Vin akili yake ikimature tu kwa 50% uwanjan...yaan afocus kwenye kufanya movement zenye akili nakufocus kwenye goli hii jezi namba 7 ataitendea haki..Bado team haijachanganya ila kuna vitu ninaviona vizuri, upande wa kulia kuna maelewano mazuri kati ya Carvajal na Rodrygo, kati kati Toni anacheza vizuri sana na Tchouameni, Valverde ndio bado hajasomeka, huyu Fran ni mzuri sana kwenye kushambulia na ana speed nzuri tu, anaingia ndani ninadhani anajaribu kumtengenezea Vinicius nafasi kwenye wing, shida bado hawajaelewana kwenye mikimbio yao
Kwa mara ya kwanza Vini ametulia ndani ya box, bonge moja la goli., kama hataki hivi kumbe anapiga.
Kweli kabisa man, ila ndio vile kuna muda anapata moto., Ninatamani sana awe anatulia uwanjani, ana kipaji kikubwa sana.Vin akili yake ikimature tu kwa 50% uwanjan...yaan afocus kwenye kufanya movement zenye akili nakufocus kwenye goli hii jezi namba 7 ataitendea haki..
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Vinicius Jr mapema sana, inaonekana kuwa amepata majeraha., vipimo hapo baadae vitatuonyesha ukubwa wa tatizo.
Tuliwatafuta mno, experience pia inatucost ila sio mbaya, point tatu muhimu tumezipataGooooooal....Bell...tumewatafuta sana kudadeq hawa...
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Iago alikuwepo man, vijana wanacheza vizuri na wanajitahidi sana., Celta hawakuwa tishio kivile kama tulivyowazoea, sijui ni kiwango kimepungua ama na sie tumeimarika.Duhhh vp Game lkn wanatupeleka au maana celta Vigo nao siyo poa wakiwa kwao hasa yule IAGO ASPAS sijui kama kaanza maana nipo mbali sicheki hata Ball
Hela tulioi mwaga kwa bellingham imerudi au tusubiri kwanza??????????