Ya ilichezwa. Summary
Kipindi cha kwanza tulicheza vibaya hatukua vizuri kwenye defence, na build up beki za pembeni zilijotajihidi kupiga cross zisizoleta impact. Camavinga alipocheza ndio atacheza siku zote. Jude ni ball career mzuri sana. Akicheza nje ya box la mpinzani inazidi kubamba. Kucheza mbele na joselu ambaye ni finisher na brahim hatukupata ufanisi. Hii combo itakua sub au mfumo mwingine au copa de rey
HT Acmilan 2- 0 Real Madrid
Kipindi cha pili change ilifanyia kwa timu yote kasoro jude na valverde. Tukacheza na ile ile 442 ambayo inakua diamond jude anacheza juu kabisa. Timu ilikua inautulivu mbele Maana rodrygo ni mzuri akiwa na mpira, vin alikua na vitu vingi kama kawaida kucheza na jukwaa.
Magoli mawili ya kwanza imetokana na uzembe wa ac milan baada ya kulose position/ poor passing position ikabaki kazi ya valverde kusukuma mpira kambani. Goli la tatu good pass ya modric ikatua moja kwa moja kwa vin good run with speed. Boom tukatia chuma ya 3 na ushindi.
FT acmilan 2- 3 Real Madrid
Nilichokiona. Huu msimu tutashuhudia tchouameni anacheza mechi nyingi hasa nafasi ya defence. Amecheza vizuri good passer na kukaba.
My option midfielder this season itakua valverde,camavinga,tchouameni,jude. Mbele atasimama rodrygo na vin.
Heko madridistas