Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Heko,

Game ilikua nzuri hasa kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili barca walikua kuja na plan ya kukaa na mpira na kucheza pasi za taratibu, waliweza control temper ya mchezo japo madrid tulijipapatu papatu.

Umakini mbovu wa vin umetunyima nafasi za goli, japokua alikosa penalty. Golikipa wa barca kajitahidi mara nyingine kuonesha ubora.

Leo ilianza promising midfielder Sijajua valverde alipwaya alikua nje ya position kabisa.

Tchouameni ni undisputed, msimu huu atacheza game nyingi sana. Kwa mara nyingi kaonesha class.

Best player kwangu leo kwa pitch, tchouameni plus rodrygo. Huyu kid ni mzuri mzuri mzuri ni basi game ilikua haiko side yetu.

Fulltime
Barca 3 - madrid 0

Cheers madridistas.
 
Mtani katupiga nyingi sana,utasema kuna kombe tunagombea..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Hatunaga urafiki na nyie tukiwa uwanjani. Hata ikiwa mechi ya hisani, kwetu sisi hiyo ni vita. Na hiyo ndio sababu pekee ya Madrid kuihofia Barca. Team zote duniani zinawaogopa, ila sio sisi!

Kwa maoni yangu, nadhani huu msimu utakua mgumu sana kwenu kupata magoli kama hamtasajili striker wakueleweka. Vini sio mtu wa kumtegemea kufunga magoli. Nafasi sita, anafunga moja.

Unaweza kua msimu mgumu sana kwenu, na msimu mzuri sana kwetu!
 
Tuna wachezaji wazuri ila hatuna timu nzuri,hadi sasa hivi sijaona timu ya ushindani katika mashindano yanayokuja..ni either mbinu za kocha zimepitwa na wakati au uwezo wake wa ubunifu kulingana na wakat umekwisha,ni kama bado tunacheza style ya msimu uliopita kuwa Vin ndio anakuwa mtu wakuamua tushinde au tusishinde,hii mbinu ishashtukiwa na hatutatoboa,Lazima tuwe na utatu katika timu ambapo so far haupo.

Na huku kwenye beki timu inafungwa magoli yanayofanana,yaan yale yanayotokana na "V movement",beki zinapanda zinajisahau.

Pia hatuna utulivu kwenye eneo la adui ni vurugu vurugu tuu ngoja msimu uanze
 
Sijacheki Game hata moja ya chama langu maana tunapigwa sana vp mpira unachezeka au ndyo unga unga tu
Halla Madrid

Yah unachezeka changamoto bado chache, ku link up kwa wachezaji. Tunashindwa kumalizia nafasi na kurudi on position after we lose ball.

Mbele rodrygo na vin watasaidia kwenye timu kufanya pressing
 
Hata kama ni Pre-season, ndiyo tuchapike kwa Juve hii iliyojifia iliyopigwa ban juzi kushiriki michuano ya UEFA Conference! Big no kwakweli.
 
Tuna wachezaji wazuri ila hatuna timu nzuri,hadi sasa hivi sijaona timu ya ushindani katika mashindano yanayokuja..ni either mbinu za kocha zimepitwa na wakati au uwezo wake wa ubunifu kulingana na wakat umekwisha,ni kama bado tunacheza style ya msimu uliopita kuwa Vin ndio anakuwa mtu wakuamua tushinde au tusishinde,hii mbinu ishashtukiwa na hatutatoboa,Lazima tuwe na utatu katika timu ambapo so far haupo.

Na huku kwenye beki timu inafungwa magoli yanayofanana,yaan yale yanayotokana na "V movement",beki zinapanda zinajisahau.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

huko ni kujidanganya mkuu, Hii timu ilishapoteza dira kabla ya kuja huyo kocha unaesema mbinu zake zimepitwa na wakati.
Ukweli ni kuwa wachezaji wengi wa timu wana uwezo wa kawaida sana. forward line na backline ndio madhaifu makubwa ya timu.
 
Perez amefanya kosa kubwa sana kushindwa kuleta replacement ya Benzema.
For sure, tunapaswa kuwa na emergence solution for number 9 in case mbappe will not join this summer, there are lots of very good strikers in the world kwa pesa tunayoweza ku afford, what is Perez waiting for? Let us wait until the end of this summer tuone.
 
Back
Top Bottom