Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Naona tunaenda kuongeza mchezaji mmoja, yule kinda mwenye asili ya kituruki. Aisee hii timu kama ukienda kwa project tunaitaji tuu coaching kufika tunapopataka.
Msimu ujao naona kabisa rodrygo ndio atasimama kama sticker wetu. Next summer tutaongeza beki ya kulia na beki ya kushoto
Msimu ujao naona kabisa rodrygo ndio atasimama kama sticker wetu. Next summer tutaongeza beki ya kulia na beki ya kushoto